Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEuro 2016FranceKurt Zouma

Kurt Zouma aahidi kurejea kwenye kiwango cha juu zaidi ya mwanzo.

Beki chipukizi wa kati Kurt Zouma ameahidi kurejea katika kiwango cha juu kupitiliza baada ya kukaa nje muda mrefu kutokana na jeraha la mguu alilopata mwezi February kwenye mechi ya Manchester United hivyo alilazimika kufanyia upasuaji kitu kilichompelekea kukosa mechi zote zilizobaki mashindano ya EURO na pia atakosa mechi kadhaa za ufunguzi, Zouma aliyeanza kujiimarisha katika kikosi cha kwanza chini ya kocha Jose Mourihno anatajwa kuwa moja ya wachezaji bora kabisa wanaochipukia, beki huyo amesema atarudi katika kiwango cha juu na kuisaidia Chelsea kurejea katika ligi ya mabingwa wa ulaya. Tunamtakia Kurt Zouma kila la kheri apone haraka.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib