Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Alvaro MorataChelseaMitchy BatshuayiOlympic Marseile

Huyu ndo Mchezaji wataye mnunua Chelsea kama watamkosa Morata.

Klabu ya Chelsea wanafikiria kutuma ofa ya Paundi milioni 31 kwa klabu ya Olympic Marseile ili wawauzie Mshambuliaji wao ua Mitchy Batshuayi ikiwa mbio zao za kumsajili mshambuliaji hatari wa Juventus Alvaro Morata zitafeli.Mchezaji huyo alikataa kujiunga na West Ham United akiweka wazi angependa kujiunga na klabu kubwa au klabu inayocheza ligi ya mabingwa ulaya Tottenham nao walikua wakitaka kumsajili mchezaji huyo ila hawapo tayari kutoka hela inayotakiwa na Olympic Marseile hivyo kuicha klabu ya Chelsea pekee ikiwa na nafasi kubwa ya kumsajili.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib