Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaDarmianManchester unitedMaticMourinho

Mourinho: Conte nipe Matic nikupe Darmian.

Jose Mourinho anafanya kila jitihada kumsajili Matic na Conte anafanya kila jitihada kumsajili Darmian kitu kilichompa Jose wazo la kubadilishana wachezaji, Darmian anafanya vizuri kwenye kikosi cha Italy akicheza kama beki wa kulia kitu kinachomshawishi Conte kuenda Chelsea, Matic aliyefanya vizuri chini ya Mourinho naye anatakiwa Man United, Kwa Chelsea inaweza isiwe ngumu kumnunua Darmian hata kama hawatataka kuwauzia Matic sababu Darmian yupo kwenye list ya wachezaji wanaoweza kuuzwa.  Je ungekubali usajili huu?

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib