Climb the mountains
Chelseamkataba mpyaNew kitspre season gamesThe bluesUsajiliWillian sign new contract
Baada ya kuripotiwa anataka kusajiliwa na Man U hatimaye Willian asaini mkataba mpya.
Winga wa Chelsea aliyekua akitajwa kama ni moja ya wachezaji Jose Mourinho aliopanga kuwasajili msimu huu Willian leo amesaini mkataba mpya wa miaka minne utakao muweka darajani mpaka mwaka 2020.
Tags: Chelsea
, mkataba mpya
, New kits
, pre season games
, The blues
, Usajili
, Willian sign new contract
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment