Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

CheleaFifa 17 CoverVote for Hazard

Mpigie kura Eden Hazard ili picha yake iwe kwenye cover la mbele la Fifa 17.


Nyota wa Chelsea Eden Hazard ni moja ya nyota waliochaguliwa kushindanishwa ili mshindi awe kwenye kava la mbele ya game Fifa 17. Hazard anachuana na Antony Martial, Marco Reus na James Rodriguez. BONYEZA HAPA KUMPIGIA KURA EDEN HAZARD

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib