Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Chelsea want MessiEclipse YatchRoman AbramovichTetesi za usajiliTransfer News

Roman Abramovich akutana na baba yake Messi, amwambia yupo tayari kumnunua Messi.

Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amekutana na baba wa mwana soka bora wa dunia mara 4 Lionel Messi katika boti yake ya kifahari ya Eclipse na kuweka bayana nia ya Chelsea kumsajili Mtoto wake Chelsea wapo tayari kumlipa Messi mshahara wa paundi laki nane kwa wiki na wanajiandaa kutuma dau la paundi milioni mia moja. Abramovich amemweleza kua Chelsea walikua wakifuatilia kwa karibu kesi ya mtoto wake ambaye bado hajapewa mkataba mpya na Barcelona mpk sasa.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib