Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

CheleaKalidou KoulibalyNapoliTetesi za usajiliTransfer News

Beki wa Napoli aliyewahi kusema angependa kujiunga na Chelsea amesema anataka kuondoka.


Wakala wa beki wa Napoli Kalidou Koulibaly ameweka wazi kua mteja wake anataka kuondoka klabuni hapo huku Chelsea na Evertorn wakitajwa kumuwania,beki huyo aliwahi kuweka wazi kua angependa kujiunga na Chelsea,hata hivyo klabu ya Chelsea walituma ofa kadhaa kuomba kumsajili beki huyo lakini Napoli walizikataa. Kama Napoli wakifikiria kumuuza bila shaka Chelsea watajaribu bahati yao kwa mara nyingine maana walishaanza kutafuta mbadala wake.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib