Climb the mountains
Axel WitselBelgiumBrexitChelseaEvertonhijacked deals by ChelseaTransfer NewsUsajili ulaya
Chelsea wafikia makubaliano kumsajili Axel Witsel.
Klabu ya Chelsea wamefanikiwa kuelewana makubaliano binafsi ya mshahara na kiungo wa Zenit ambaye klabu yake inamuuza kwa paundi milioni 28,Witsel aliyekua anakaribia kutua Everton kabla ya Chelsea kuingilia kati na kumpa mkataba mnono kilichobaki ni Chelsea kuwalipa Zenit pesa yao.
Tags: Axel Witsel
, Belgium
, Brexit
, Chelsea
, Everton
, hijacked deals by Chelsea
, Transfer News
, Usajili ulaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment