Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Klabu ya Chelsea imekubali kumsajili kiungo N'golo Kante wa mabingwa wa Uingereza 2015/16 Leicester City kwa dau la paundi milioni 29,Kante amekua akihusishwa kuhamia Chelsea kabla mashindano ya Euro hayajaanza ila yeye alikiri kwamba atakua tayari kuongea mara baada ya mashindano hayo kuisha.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib