Mshambuliaji mpya wa Chelsea Mitchy Batshuayi alijikuta katika wakati mgumu baada ya Gari lake aina ya Lamborghini kukamatwa akiwa Ibiza baada ya kulipaki sehemu isiyo ruhusiwa.
Mshambuliaji huyo anaye tumia muda wake kupumzika katika beach ya Ibiza aliliacha gari lake chini ya mti aliporudi alikuta askari wa barabarani wakinilipakia gari lake katika gari maalumu la kunasulia magari yanayopakiwa sehemu zisizo rasmi hata hivo baadaye alilipata gari lake baadae baada ya kulipa faini ya paundi 330 sawa na shilingi laki tisa za kitanzania


No comments:
Post a Comment