Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEPL 2016/17EvertonlukakuTransfer NewsUsajili

Dau la Chelsea lenye thamani ya Paundi milioni 57 kumsajili Lukaku lakataliwa.

Licha ya klabu ya Everton kukiri kwamba mshambuliaji wao anataka kurudi Stamford Bridge ila wamekataa dau la Chelsea la paundi milioni 57, Evertone walimnunua mchezaji huyo Chelsea kwa ada ya paundi milioni 28.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib