Climb the mountains
Kiungo wa Chelsea na timu ya taifa ya Nigeria Mikel Obi ameingia katika majukumu baada ya kuamua kukipatia fedha kikosi cha wanamichezo wa Nigeria kinachoenda Olympic dola 30000 sawa na karibu milioni 600 za kitanzania, hiyo imekuja baada ya wafadhili kuacha kukipatia fedha kwa ajili ya posho na kusafiria kwenda Brazil, hatua hiyo imepongezwa na wadau wengi wa michezo nchini Nigeria wakiita ni kitendo cha kizalendo kwani ni kiasi kikubwa cha pesa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment