Climb the mountains
Chelsea wapo tayari kuwapatia Everton pesa pamoja na mchezaji ili kuwashawishi kuwauzia mshambuliaji Romelu Lukaku, Lukaku aliuzwa na Chelsea miaka miwili iliyopita ameweza kufanya vizuri kitu kilichopelekea klabu mbali mbali kumtaka ila kwa sasa Chelsea wapo mstari wa mbele na inaelezwa Lukaku anataka kurudi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment