Climb the mountains
ArgentinaBoca JuniorsCarols TevezChelseaEuropeManchester
Tevez: Chelsea wanataka kunisajili lakini ningependa kustaafu Boca Junior kama nilivyo ahidi.
Mshambuliaji wa Boca junior yenye makazi yake nchini Argentina Carlos Tevez ameweka wazi kua klabu ya Chelsea wanataka kumsajili ila amesema hayupo tayati kwani alikwisha ahidi kustaafu mpira katika klabu yake ya Boca Junior, Tevez amewahi kung'as akiwa na timu kama West Ham united,Manchester United, Manchester City pamoja na Juventus. Pia Tevez alisema Napoli ni moja ya klabu inayotaka kumsajili pia.
Tags: Argentina
, Boca Juniors
, Carols Tevez
, Chelsea
, Europe
, Manchester
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment