Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaConteJames Rodriguezreal madridUsajili wa ChelseaVideo za Chelsea

Chelsea wamuweka Cesc Fabregas sokoni wamuofa kwa miamba ya La Liga.

Klabu ya Chelsea imemuweka kiungo Cesc Fabregas sokoni na tayari wamesha muofa kwa klabu kama Real Madrid na Barcelona, hata hivyo kwa Barcelona imekua ngumy kwani tayari wameshamsajili Andre Gomes, Madrid wao tayari wana viungo wengi hivyo watalazimika kuuza baadhi ya viungo kabla ya kumnunua ila mawakala wa Cesc Fabregas wao waongea na klabu ya PSG ili imsajili mteja wao, pia klabu ya Juventus walikua wanahusishwa kumsajili Fabregas.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib