Climb the mountains
ChelseaConteJames Rodriguezreal madridUsajili wa ChelseaVideo za Chelsea
Ripoti kutoka Hispania zinasema Chelsea wapo tayari kumsajili James Rodriguez kwa Euro milioni 90.
Chelsea wamekua kimya kidogo kwenye dirisha hili la usajili hasa baada ya kufanya vibaya msimu uliopita, ilitegemewa wangekua bize sokoni kununua wachezaji wenye majina makubwa, ila hali imekua tofauti. Habari kutoka Hispania zinasema klabu ya Chelsea wapo tayari kutoa euro milioni 90 kumsajili Rodriguez kutoka Real Madrid, mColombia huyo yupo nyuma ya wachezaji kama Isco, Toni Kross, Modric na hata chipukizi Ansesio, japo ya James kusema anataka kubaki Madrid ila hawezi kukataa nafasi itayomfanya kucheza kikosi cha kwanza.
Tags: Chelsea
, Conte
, James Rodriguez
, real madrid
, Usajili wa Chelsea
, Video za Chelsea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment