Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte amefanikiwa kuanza ligi ya Uingereza kwa Ushindi wa goli mbili dhidi ya 1 la mahasimu wao West Ham, Chelsea walikua wa kwanza kupata goli dakika ya 47 kupitia mkwaju wa penati iliyopigwa na Eden Hazard kwa ufundi dakika ya 77 West Ham walisawazisha kupitia James Collins, dakika za lala salama Chelsea walitupia nyavuni goli la ushindi kupitia kiungo mtata Diego Costa akipokea assist kutoka kwa mchezaji mpya Mitchy Batshuayi goli hilo lilifungwa dakika ya 89,Mchezaji N'golo kante alicheza mechi yake ya kwanza ligi ya uingereza akiwa na klabu mpya ya Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib