Klabu ya Chelsea inajaribu kumsajili Blaise Matuidi wa PSG kwa ada ya paundi milioni 43, Chelsea wanalenga kuimarisha safu ya kiungo na ulinzi kabla dirisha la usajili halijafugwa, Chelsea watapata ushindani mkubwa kutoka kwa klabu ya Juventus ambao wanafikiria kumrudisha kiungo huyo, Matuidi alifanikiwa kuifungia timu yake magoli 7 msimu uliopita.Climb the mountains
ChelseaChelsea transfer newsChelsea transfer updateMatuidipsgTetesi Za Usajili Ulaya
Chelsea watupa ndoano wakijaribu kumnasa Matuidi.
Klabu ya Chelsea inajaribu kumsajili Blaise Matuidi wa PSG kwa ada ya paundi milioni 43, Chelsea wanalenga kuimarisha safu ya kiungo na ulinzi kabla dirisha la usajili halijafugwa, Chelsea watapata ushindani mkubwa kutoka kwa klabu ya Juventus ambao wanafikiria kumrudisha kiungo huyo, Matuidi alifanikiwa kuifungia timu yake magoli 7 msimu uliopita.
Tags: Chelsea
, Chelsea transfer news
, Chelsea transfer update
, Matuidi
, psg
, Tetesi Za Usajili Ulaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment