Wakala wa beki wa Napoli amesema hatma ya mteja wake itajulikana ndani ya siku 2 au tatu amesema kwa sasa hawezi kusema chochote ila ndani ya siku mbili au tatu atakua ameshatatua mzozo uliopo,nafahamika Kalidou Koulibaly anataka kuhama Napoli huku akiweka bayana kua angependa kujiunga na klabu ya Chelsea. Chelsea wamejaribu kumsajili mara tatu huku mara zote hizo ofa yao ikikataliwa ila kwa sasa wameongeza nguvu kwani wameona wana haja ya kuimarisha safu yao ya ulinzi.Climb the mountains
ChelseaKalidou KoulibalyNapoli
Je Chelsea kumsajili Kalidou Koulibaly ndani ya masaa 72?
Wakala wa beki wa Napoli amesema hatma ya mteja wake itajulikana ndani ya siku 2 au tatu amesema kwa sasa hawezi kusema chochote ila ndani ya siku mbili au tatu atakua ameshatatua mzozo uliopo,nafahamika Kalidou Koulibaly anataka kuhama Napoli huku akiweka bayana kua angependa kujiunga na klabu ya Chelsea. Chelsea wamejaribu kumsajili mara tatu huku mara zote hizo ofa yao ikikataliwa ila kwa sasa wameongeza nguvu kwani wameona wana haja ya kuimarisha safu yao ya ulinzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment