Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Chelsealoyal playerspsgUsajiliWillian

Willian:Sijawahi kufikiria kuondoka Chelsea.


Winga wa Chelsea amesema hajawahi kufikiria kuihama Chelsea hata siku moja,hii imekuja baada ya klabu ya PSG kujaribu kusajiri kwenye dirisha la usajili lililofungwa mwezi wa nane,winga huyo ambaye alipigiwa kura na mashabiki wa Chelsea kua mchezaji bora wa msimu wa 2016/17 ameweka wazi kua angependa kumalizia maisha yake ya soka katika klabu ya Chelsea,pia Willian aliongeza mkataba utakao muweka darajani mpaka mwaka 2020.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib