Climb the mountains
#ZoumaIsBackAntonio ConteChelseaKurt Zouma
Baada ya kukaa miezi nane nje ya uwanja akiuguza majeraha beki Zouma arudi rasmi uwanjani.
Wakati Chelsea wakiendelea kufanya vizuri kwenye ligi habari njema zimezidi kumiminika darajani baada ya beki chipukizi Kurt Zouma kurudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu mwezi wa pili Kurt Zouma aliumia kifungo cha mguu jeraha lililomuweka njee ya Uwanja kwa miezi nane mfululizo,Zouma amecheza mechi yake ya kwanza wakati kikosi cha vijana wadogo wa Chelsea walipokutana na Derby alicheza dakika 45 za kipindi cha kwanza.Habari hii itakua njema kwa kocha Conte ambye alikua anahangaika kupata mabeki imara na wenye nguvu Kurt Zouma atongeza msaada kwenye hilo.
Tags: #ZoumaIsBack
, Antonio Conte
, Chelsea
, Kurt Zouma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment