Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Kocha Jose Mourinho alishikwa na hasira baada ya kocha wa Chelsea kuwaonyesha ishara mashabiki wa Chelsea kusimama na kushangilia zaidi baada ya Kante kufunga goli la nne kiasi  cha kuamua kumfuata kocha wa Chelsea Antonio Conte kwenda kumwambia kinachomsibu. Kupitia microphone wanazo vaa ma makocha alisikika Jose akiongea kwa lugha ya kiitaliano,ambapo alimwambia usifanye hivo ukiwa umeshinda  unaweza kushangilia hivyo goli la kwanza ilasio la nne unanifedhehesha hata hivyo hali hiyo haikuiishia hapo kwani baadae wakiwa wanaelekea vyumba vya kubadilishia nguo moa wa makocha wasaidizi wa Man United waligoma kumpa Conte mkono kitu kilicho ibua mvutano na makocha wasaidizi wa Chelsea. Hata hivyo Conte aliongea alisema yeye ameshawahi kua mchezaji anajua kila kitu kuhusu mpira na mchango wa mashabiki alisema kuna mashabiki wa Manchester walikua wanashangilia licha ya kua wamefungwa hivyo nilitaka na wetu washingilie kwa nguvu kuwatia moyo zaidi wachezaji wetu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib