Climb the mountains
ChelseaChelsea vs Manchester UnitedJose MourinhoMourinho returnRoman Abramovich
Jose Mourinho:Roman Abramovich hajawahi kua rafiki yangu.
Kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourihno amesema kua bosi wa Chelsea Roman Abramovich hajawahi kuwa rafiki yake Jose ameyesema hayo akiwa anatarajia kurudi Stamford Bridge kwa mara ya kwanza tangu afukuzwe kazi na Chelsea baada ya muenendo mbovu wa timu,alifukuzwa akaiiacha Chelsea ikiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment