Climb the mountains
ChelseaJuventusManchester unitedNemanja maticusajili january
Nemanja Matic mchezaji anayetazamiwa kugombaniwa sana dirisha dogo la Usajili January huku Juventus na Manchester United wakiongoza.
Kiungo mkabaji wa Chelsea anatazamiwa kua mchezaji atayehitajika sana mwezi January wakati wa dirisha dogo la usajili huku Man United na Juventus wakitajwa kama timu zinazo mhitaji zaidi ila itawawia vigumu Chelsea kumruhusu kiungo huyo hasa baada ya kiwango chake kuanza kurudi katika hali nzuri tofauti na msimu uliopita.Kama ataondoka inatazamiwa ataondoka kwa dau lisilopungua paundi milioni 30.
Tags: Chelsea
, Juventus
, Manchester united
, Nemanja matic
, usajili january
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment