Climb the mountains
Andre SchurrleChelseaJose MourinhoSuper sub
Andre Schurrle amlaumu Jose Mourinho kwa kukatisha ndoto yake ya kua mkongwe wa Chelsea.
Aliyekua kipenzi cha mashabiki wa Chelsea akisifika kwa kufunga magoli kwa mashuti ya mbali na magoli yake pindi tuu anapingia kama mchzaji wa akiba Mjerumani Andre Schurrle amemlaumu bosi wake wa zamani Jose Mourinho kwa kukatisha ndoto yake ya kuichezea Chelsea zaidi na zaidi huku akimtuhumu kwa kutokumpa nafasi ya kuonyesha uwezo wake zaidi.Alisema "Mournho alinionyesha jinsi maisha yanavyoweza kua magumu kama mchezaji wa mpira,ukifanya vibaya mechi moja tuu basi unakua nje ya timu, Kuhezea Chelsea ilikua ni ndoto yangu ila baada ya kukaa benchi kwa wiki kadhaa kutokana na majeraha kocha aliacha kuniamini" Schurrle alichezea Chelsea mechi 64,aliuzwa na Chelsea mwezi January hata hivyo klabu ilimtumia medali ya ushindi wa ligi ya Uingereza hata baada ya kondoka
Tags: Andre Schurrle
, Chelsea
, Jose Mourinho
, Super sub
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment