Climb the mountains
ChelseaMichael EssienPanathinaikos
Baada ya kutemwa na klabu ya Panathinaikos Chelsea wamemkaribisha mkongwe wao kurudi kufanya mazoezi pamoja nao mpaka atakapopata timu nyingine.
Ule usemi wa nyumbani ni nyumbani umedhihoirika baada ya klabu ya Chelsea kumruhusu legendali wao wa zamani Michael Essien kurudi klabuni hapo kufanya nao mazoezi mpaka tapokua fiti na kupata timu nyingine hii sio mara ya kwanza kwa Michael Essien kurudi Chelsea kufanya mazoezi pindi anapokosa klabu.Essien aliichezea klabu ya Chelsea toka mwaka 2004 mpaka mwaka 2014 akifanikiwa kushinda mataji yote kama UEFA Champions League,UEFA Europa League,Ligi kuu,FA,Capital One,Ngao za Hisani na mengineyo.
Tags: Chelsea
, Michael Essien
, Panathinaikos
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment