Climb the mountains
ArsenalChelseaEnglandEthan AmpaduExeter CityTetesi za usajiliWales
Chelsea wanaongoza kwenye mbio za kunasa saini ya kinda Exeter City,anafukuziwa na klabu kubwa barani ulaya Baba yake ni kocha wa timu ya watoto ya Arsenal,anaweza kuchezea timu ya taifa ya Ghana,Ireland au England.
Klabu ya Chelsea wanaongoza mbio za kuinasa saini ya kinda wa Exeter City Ethan Ampadu anayefukuziwa na klabu kubwa barani ulaya kama Manchester United na Real Madrid, kinda huyo anayecheza nafasi ya kiungo mkabaji ameshacheza mechi na timu ya taifa ya Wales Under 18 ila pia anaweza kuamua kama ataichezea Ghana,Ireland au England. Baba wa kinda huyo ni kocha wa timu ya watoto ya Arsenal hata hivyo Chelsea ndo wanatajwa kama vinara katika kunasa saini yake kwa dau la paundi milioni 2 tuu.
Tags: Arsenal
, Chelsea
, England
, Ethan Ampadu
, Exeter City
, Tetesi za usajili
, Wales
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment