Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea Andre Villas Boas anamtaka nahodha wa Chelsea na mchezaji wake wa zamani John Terry kujiunga naye kwenye klabu ya Shangai SIPG anayoifundisha nchini china. John Terry aliyebakiza miezi kadhaa tuu kwenye mkataba wake wa Chelsea anategemewa kuondoka mwisho wa msimu huu huku klabu mbali mbali nchini China zikifukuzia saini yake.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib