Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaFrank LampardLegendMK DOnsNew York City FcUnited Kingdom

Mkongwe wa Chelsea apewa kipaumbele kuionoa timu Uingereza.


Mchezaji mkongwe wa klabu ya Chelsea Frank Lampard anatanywa kua ndiye chagua la awali kwenye kibarua cha kuinoa klabu ya MK Dons inayoshiriki ligi daraja la kwanza,mkongwe huyo mwenye miaka 38 aliweka wazi jumatatu hii kua ataondoka klabu yake ya sasa New York City Fc mwisho wa msimu huu. Frank Lampard ni moja ya wachezaji mashuhuri kwenye timu ya taifa ya Uingereza akiwa ameichezea jumla ya mechi 106.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib