Climb the mountains
Mashabiki ulimwenguni kote wamemchagua winga(Wing Back) wa Chelsea Victor Moses kua mchezaji bora wa mwezi November hii imekuja baada ya Victor Moses kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika mechi zote za mwezi November. Tangu kocha Antonio Conte aanze kukifunda kikosi cha Chelsea Victor Moses amekua mchezaji wa kutegemewa na amekua akicheza katika kiwango cha juu.
Tags: Chelsea
, PFA November
, Victor Moses
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment