Climb the mountains
Antonio ConteChelseaChelsea Champions
Conte akataa kukubali kua Chelsea ni miongoni ya timu zenye nafasi ya kuchukua ubingwa.
Kocha wa Chelsea Antonio Conte amekataa kwa mara pili kukubali kama Chelsea ni miongoni ya timu zenye nafasi ya kuchukua ubingwa msimu huu,Chelsea wamekua na kiwangu kizuri baada ya kushinda mechi sita mfululizo huku wakiwa hawajaruhusu goli hata moja ila wao wakiwa wamefunga magoli 17. Conte alisema "Nina furaha tumeshinda ,echi sita mfululizo kwa sababu ligi ni ngumu ila ni ngumu kujibu kama tunaweza kutwaa ubingwa sababu mwezi moja na nusu uliopita Chelsea walifungwa mechi mbili muhimu dhidi ya Arsenal na Liverpool.
Tags: Antonio Conte
, Chelsea
, Chelsea Champions
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment