Climb the mountains
ChelseaEden HazardHazard ContractThe Guardian
Eden Hazard:Sitaondoka Chelsea mpaka tutakaposhinda makombe
Winga machachali wa Chelsea Eden Hazard amesema hataondoka klabu ya Chelsea mpaka atapofanikiwa kuisaidia klabu hiyo kushinda kombe lingine na kua mabingwa tena,Eden Hazard aliyasema hayo alipokua akiongea na mwandishi wa Gazeti la The Guardian na kumwambia nimeshaweka wazi siwezi kuondoka baada ya kua na kiwango kibaya msimu uliopita nitasalia hapa mpaka tutakaposhinda kombe.
Tags: Chelsea
, Eden Hazard
, Hazard Contract
, The Guardian
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment