Climb the mountains
Diego Costa siku zote ni muhimu sio akiwa anafunga tuu hata kwa mchango wake katika safu ya mashambulizi na sasa kocha wa Chelsea Conte anamwagia sifa nyota huyo kua ni muuaji wa kimya kimya. Conte anasema kua baada ya Diego Costa kujifunza kutuliza hasira zake amekua muuaji wa kimya kimya na amekua moja ya washamuliaji bora kabisa ulimwenguni. Anacheza vizuri sana na Eden Hazard pamoja na Predo kipindi cha nyuma watu walikua wakiniuliza tabia ya Diego Costa ila kwa sasa naamini akiendelea hivyo hivyo na uvumilivu atakua bora zaidi.
Tags: Antonio Conte
, Chelsea
, Diego Costa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment