Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Chelsea SquadPlayers pay cut

Kikosi cha Chelsea hakitapewa fedha za bonasi hata kama wakifuzu kucheza ligi ya mabingwa ulaya. Na hii ndiyo sababu ya kutokupewa fedha hizo.


Klabu ya Chelsea imesema kua kikosi cha kwanza cha Chelsea hakitapata fedha za bonasi zinazotolowa baada ya timu kumaliza kuanzia nafasi ya nne kwenda juu kwa kua msimu uliopita klabu haikuwakata fedha baada ya kushindwa kufikia nafasi ya nne. Kutokaa na mikataba baina ya klabu na wachezaji klabu huwazawadia fedha wachezati kama motisha pindi wanapomaliza ligi katika nafasi za juu lakini pia klabu huwakata fedha wachezajiikiwa watashindwa kumaliza nafasi waliyokubaliana na hivyo klabu ya Chelsea imesema kua kwa saa wachezaji hawatapata motisha kwa kua hawakukatwa fedha baada ya kufanya vibaya msimu uliopita. Msimu uliopita klabu ya Chelsea ilijikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kutetea kombe na kujikuta wakimaliza katika nafasi ya kumi.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib