Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio ConteBranislav IvanovicCesc FabregasCheleaMikel ObiOscar

Hawa ndio wachezaji wanne Conte aliopanga kuwauza. (Wamo Viungo watatu na beki moja)


Kocha wa Chelsea Antonio Conte amepanga kusafisha kikosi chake na sasa tayari ameshajua wachezaji gani ataanza kuwauza ili kupata fedha ya kuongezea kufanya usajili wa wachezaji anaowahitaji, kama tetesi nyingi zilivyokua zikisamba kwenye mitandao kua Fabregas yupo mbioni kuuzwa na kweli Mchezaji huyo anaongoza orodha hiyo ya wachezaji wanne watakaouzwa huku akifuatiwa na Mbrazili Oscar, Branslav Ivanovic pamoja na John Obi Mikel, wachezaji hao wamekua wakipata namba kwa nadra sana tangu Conte aanze kuifundisha Chelsea hivyo anategemewa kuwauza ili kupata fedha na kuwaachia nafasi nyota atakaowasajili.Imeandikwa na Christian tufollow Kwenye ukurasa wetu wa Facebook.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib