Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

N'golo KanteUEFA TEAM OF THE YEAR 2016

Nimemchagua Kante.. Je wewe Umeshampigia kura N'golo Kante? Kura yako itamuwezesha kuingia kwenye kikosi cha bora cha UEFA mwaka 2016.

Kikosi nilichokichagua mimi, Chagua cha kwako na wewe kisha share na marafiki.
Kwa mashabiki wote wanaopenda soka hii ni nafssi kwako kuchagua kikosi chako bora cha mwaka 2016, kuchagua kikosi BONYEZA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib