Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

AgueroChelseaManchester City

Manchester City na Chelsea wapigwa faini.


Klabu ya Chelsea na Manchester City wamepigwa faini na chama cha soka Uingereza FA baada ya wachezaji wao kufanya fujo katika mechi yao ambapo Manchester City alilala kwa goli 3 kwa 1 pia wachezaji wawili wa Man City wamefungiwa kucheza,stoker Sergio Aguero akifungiwa mechi Nne huku Fernandinho akifungiwa mechi 3. Hata hivyo FA haijaweka wazi ni kiasi gani cha pesa klabu hizo zinatakiwa kulipa kama fain

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib