Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChristmasNew year

Antonio Conte awaongoza wachezaji wa Chelsea kusheherekea sikukuu za mwisho wa mwaka.

Klabu ya Chelsea waliandaa hafla ndogo ya kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka iliyowashirikisha makocha wa Chelsea na wachezaji huku kocha Antonio Conte akiongoza tafrija hiyo. Conte aliwashukuru wachezaji,makocha na wafanyakazi wengine wa Chelsea kwa kujituma kwao kuiwezesha Chelsea kuongoza ligi. Hafla hiy ilifanyika katika uwanja wa mazoezi wa Chelsea.






No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib