Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaEnglandEngland national team Assistant ManagerSteve Holland

Kocha kipenzi cha mashabiki Chelsea akubali kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Uingereza.


Kocha kipenzi kwa mashabiki na wachezaji wengi wa Chelsea Steve Holland amekubali kujiunga na timu ya taifa ya Uingereza ana atakua kocha msaidizi Holland alichaguliwa kua kocha wa timu ya akiba ya Chelsea mwaka 2009 na baadae kupandishwa cheo na kua kocha msaidizi wa Chelsea. Pamoja na Chelsea kua na mtindo wa kubadili makocha mara kwa mara ila makocha wote hamna aliyemtoa Holland katika nafasi yake.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib