Climb the mountains
Ceser AzpilicuetaMkataba mppya Chelsea
Cesar Azpilicueta asaini mkataba mpya na Chelsea.
Beki wa kushoto na kulia wa Chelsea Cesar Azpilicueta amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu utakaomuweka darajani mpaka mwaka 2020,Azpilicueta atakua amefikisha mechi 200 na Chelsea kama atapangwa kwenye kikosi dhidi ya Sunderland katika mechi ya jumatano jioni.Mhispania huyo aliweka wazi kua anafuraha klabu kumpatia mkataba mpya kwani tangu anajiunga malengo yake ilikua ni kushinda vikombe na kuendelea kiuchezaji huku akisifia uhusiano mzuri kati ya makocha na wachezaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment