Climb the mountains
ChinaOscarOscar to ChinaUsajili
Chelsea wakubali kumuuza Star wao kwa ofa ya paundi milioni 60 kwenda klabu ya China...
Habari za hapo asubuhi zilidai kua klabu ya China Shangai SiPG wametuma ofa ya paundi milioni 60 kumsajili kiungo wa Chelsea Oscar na habari za hivi punde zinasema kua Chelsea wameamua kukubali kumuuza Oscar kwa kiasi hicho kikubwa cha pesa kwani ni pesa nyingi kukataa kwa mchezaji ambaye anakaa benchi.Ikumbukwe kua Oscar haanza mechi ya Chelsea tangu September 16 wakati Chelsea walipofungwa na Liverpool.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment