Climb the mountains
Andre villas boasAVBChelseaChinaOscarShangai SIPG
Klabu ya china kutuma ofa ya paundi milioni 60 kumnasa Oscar.
Klabu ya China Shangai SiPG wanajiandaa kutuma ofa ya paundi milioni 60 kumsajili kiungo wa Chelsea mwezi January klabu hiyo ambayo kwa sasa inafundishwa na kocha wa zamani wa Chelsea Andre Villas Boas. Kiungo huyo wa Brazili amekua akisugua benchi tangu kocha Antonio Conte alipoanza kuifundisha klabu ya Chelsea kitu kinachoweza kumsawishi kuihama klabu hiyo mapema.
Tags: Andre villas boas
, AVB
, Chelsea
, China
, Oscar
, Shangai SIPG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment