Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaJames Rodriguezreal madrid

Chelsea kutuma ofa ya paundi milioni 75 kumnunua James Rodriguez ili kuziba nafasi ya Oscar anayehamia klabu ya Shangai SiPG.


Klabu ya Chelsea wanajiandaa kutuma ofa ya paundi milioni 75 ili kumsajili kiungo wa Real Madrid James Rodriguez ili azibe nafasi ya Oscar hii itakua mara ya tatu klabu ya Chelsea kujaribu kumsajili James, ukosefu wa namba ya kudumu kwenye kikosi cha Real Madrid unaweza kumshawishi James kuhamia Chelsea

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib