Climb the mountains
ChelseaMarseilleMikel ObiOlympic Marseille
Kiungo wa Chelsea afanya maongezi na klabu ya Marseille kwa ajiri ya uhamisho mwezi January.
Kiungo wa timu ya taifa ya Nigeria na klabu ya Chelsea Mikel Obi amefanya mazungumzo na klabu ya Olympic Marseille ya Ufaransa juu ya uwezekano wa yeye kuhamia klabu hiyo mwezi wa kwanza,Mikel ambaye hajacheza hata mechi moja tangu kocha Antonio Conte aanze kuifundisha Chelsea anategemewa kuhama klabu ya Chelsea bila malipo yoyote japo amebakiza miezi sita katika mkataba wake,Mikel Obi atakumbukwa na mashabiki wengi wa Chelsea kwa mechi ya Bayern Munich katika fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kwani alionyesha kiwango cha hali ya juu,pia Mikel amekua mkongwe Chelsea baada ya kuitumikia klabu ya Chelsea kwa takribani miaka 9.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment