Climb the mountains
ChelseaEden HazardSunderland
Eden Hazard aachwa kwenye kikosi kitachocheza dhidi ya Sunderland.
Winga matata wa Chelsea Eden Hazard ameachwa kwenye kikosi cha Chelsea kinachotarajiwa kuumana leo na klabu ya Sunderland kutokana na kupata jeraha katika mechi dhidi ya Chelsea na West Ham United, Mbrazil Willian anatazamiwa kuchukua nafasi ya winga huyo na itakua mara ya kwanza Willian kuanza mechi tangu mama yake afariki dunia.
Tags: Chelsea
, Eden Hazard
, Sunderland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment