Climb the mountains
Alexis SanchezChelseaDiego CostaSanchez
Chelsea wanajiandaa kutuma ofa kumsajili star wa Arsenal Alexis Sancheza kama Arsenal watashindwa kumpa mkataba anaotaka.Ni baada ya mashabiki na makocha wa Chelsea kusema Costa anahitaji msaidizi mwenye uwezo wa hali ya juu.
Chelsea wanajiandaa kutuma ofa ya kumsajili star wa Arsenal Alexis Sanchez mwezi wa January ili kumuongezea nguvu Diego Costa ambaomwote wamefunga magoli sawa kwenye ligi kuu ya England msimu huu hii yote inakuja baada ya mazungumzo ya mkataba kati ya Alexis Sanchez na Klabu yake ya Arsenal kusua sua ikisemekana kua Arsenal hawapo tayari kumpa mkataba anaotaka hivyo kupelekea klabu kubwa barani ulaya kukaa tayari kujaribu kumsajili mkali huyo wa Arsenal.
Tags: Alexis Sanchez
, Chelsea
, Diego Costa
, Sanchez
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment