Climb the mountains
ChelseaDiego Costa Contractmkataba mpya
Chelsea wanataka kumpa Diego Costa mkataba utakaomuweka Chelsea mpaka atapoamua kustaafu soka.
Klabu ya Chelsea wnafikiria kumuongezea mfungaji magoli wao Diego Costa mkataba mpya ambao utambakisha Chelsea mpaka atakapoamua mwenyewe kustafu soka au kuondoka. Mkataba wa sasa wa Diego Costa unaisha mwaka 2019 na Chelsea wanataka kumuongezea miaka miwili zaidi kwenye mkataba mpaka 2021.Costa amekua na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Chelsea akichangia kufunga magoli 13 msimu huu akiwa ameshafunga magoli 50 tangu ajiunge na klabu ya Chelsea akitokea Atletico Madrid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment