Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


-Klabu ya Chelsea watatuma ofa ya paundi milioni 42 kumsajili kiungo wa Bayern Munich Arturo Vidal,klabu ya Bayern kwa sasa wanafikiria kuwapatia nafasi vijana wadogo kwenye nafasi ya kiungo hivyo Vidal anatakiwa kuwapisha.

-Uwezekano wa Chelsea kumsajili Verrati kutoka PSG unazid kuongezeka baada ya wakala wa mchezaji huyo kusema timu yoyote iliyo na fedha za kumsajili mteja wake wanakaribiswa,Conte anataka kuongeza wachezaji kwenye kikosi chake ili kukipa upana wa kubadilishana namba na kujikinga na majeruhi

-Chelsea wamerudi tena As Roma kwa mara ya pili wakijaribu kumsajili beki wao Rudiger ambaye walishindwa kumsajili wakati wa dirisha la usajili lililopita Chelsea bado wanataka kuiimarisha safu yao ya ulinzi kwani mkongwe John Terry anategemewa kuondoka mwisho wa msimu...

Endelea kua nasi tutakuletea habari mpya kadri tunavyozipata usisahau kushare na marafiki.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib