Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ArsenalliverpoolPhilipp Pleintottenham

Mastaa wa Chelsea,Tottenham,Liverpool na Arsenal wajumuika pamoja katika uzinduzi wa lebo ya mavazi ya Philipp Plein.


Baada ya wote kutoka katika majukumu yao ya kila siku mastaa wa soka nchini Uingereza wanaovipiga katika vilabu vikubwa nchini Uingereza walijumuika pamoja katika uzinduzi wa lebo ya mavazi ya Philipp Plein ambaye alifungua duka lake jipya katika mji wa Leicester mastaa wa Chelsea Oscar na Willian waliungana na mstaa wa vilabu vingine kama Lamela,Elney,Ozil,Giroud,Lucas pamoja na watu wengine mashuhuri duniani katika uzinduzi wa Lebo hiyo.






No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib