Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Cesc FabregasChelseaEnglish Premier LeagueSunderland

Fabregas:Watu husahau mazuri uliyoyafanya ndani ya muda mfupi.


Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas aliyeongoza kwa kutoa pasi zilizozalisha magoli msimu wake wa kwanza alipojiunga na klabu ya Chelsea akitokea Barcelona juzi usiku hakusita kuwajibu watu wote waliokua wakisema yeye si mchezaji bora tena hivyo Chelsea wanapaswa kumuuza. Fabregas alisema"Kwenye mpira watu husahau wewe ni nani na una uwezo wa kufanya nini haraka sana yani haraka sana,watu wamesahau kua leo usiku ni mara ya pili katika maisha yangu kucheza kwenye huu mfumo(Akimaanisha mfumo mpya unaotumia na Chelsea hivi sasa) ninakua na wachezaji wengi sana mbele yangu na walinzi nyuma yangu naamini nitaumuudu vizuri na ninaamini nitaaendelea kupata nafasi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib